Saturday, September 8, 2012

African Hair Problems

Nimekua napata maswali mengi sana kutoka kwa wateja wangu kuhusu nywele na vipodozi kwa ujumla. Nitakuwa nawapa ideas nyingi through my own experience kuhusu ni product gani inafaa kwa nywele gani na katika mazingira yapi. Nakaribisha maswali, maoni na ushauri pia.

Nitaanza kwenye masuala ya nywele kwanza. Na nitazungumzia sana sana hizi nywele zetu za kiafrika ambazo ni natural na pia zile ambazo ziko relaxed, permed, texturized, coloured, curled, etc.

No comments:

Post a Comment