Thursday, June 20, 2013

Natural Hair...

Is it really necessary to relax, curl or perm 
our hair???

Si kila nywele inaweza kufaa kuweka dawa za  relaxer au curls au nyinginezo. Kuna nywele nyingine za kiafrika hazikubali dawa kulingana na texture yake






Ziko styles nyingi ambazo unaweza kufanya nywele zako zikawa na muonekano mzuri tu bila kuweka dawa.


 Unaweza pia kusuka nywele zako ambazo ni natural na kuweka style mbalimbali kulingana na occasion na mahali unapokwenda. Style za ofisi, weddings, parties, n.k. 



 Style nzuri pia kwa nywele ambazo ni natural ni spiral twist. Hii ni nzuri sana na inafaa kwa nyakati tofauti iwe ofisini au parties....







Natural Hair ukiisuka unaweza kufanya style tofauti na kuzidi kuimarisha ngozi yako na kufanya nywele yako kuwa na afya na imara zaidi .....






Nywele za natural pia unaweza kuichana kwa blow dry na kuiweka style ya Afro au style nyingine yeyote utakayopenda kulingana na mahali unapokwenda....



Pia natural hair unaweza kuweka style ya kusokota dread locks ambazo unaweza kuziweka katika style nyingi tofauti kulingana ni mahali gani unakwenda kama ofisini au formal parties.....


Contact Beautylicious for your Natural Hair Styles
0715 / 0754 270636


Stay Beautiful Ladies!!



No comments:

Post a Comment